Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA.OCT.16,2016 SAA 02:36 USIKU
Azam Fc hii leo wamepambana na Yanga Sc katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.
ANGALIA PICHA
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments