Bao la Galeth Bale limeweza timu yake kunyakuwa kombe la Copa Del Rey katika mchezo wa fainali wa kombe hilo uliomalizika
kwa timu ya Real Madrid kuichapo Barcelona kwa mabao 2 kwa 1.
kwa timu ya Real Madrid kuichapo Barcelona kwa mabao 2 kwa 1.
Baada ya kipindi cha pili Barca walifufua matumaini baada ya kusawazisha bao hilo kupitia kwa Marc Bartra dakika ya 68,lakini juhudi zao zilikatishwa na mchezaji aliyevunja rekodi ya usajili Galeth Bale kwa bao lake dakika ya 85,na kuifanya timu hiyo kuondoka na kombe hilo pasipo kuwa na Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa nje kwa sababu ya majeraha.
Barcelona wangeweza kusawazisha katika dakika za lala salama kama kombola la Naymar lingeingia nyavuni baada ya kugonga mwamba wa goli la Barcelona.
Copa del Rey champions #HalaMadrid
Subs: Oier, Puyol, Song, Roberto, Pedro, Alexis.
Goal: Bartra 68
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Pepe, Ramos, Coentrão, Xabi Alonso, Modric, Di María, Isco, Bale, Benzema
Subs: Diego López, Varane, Casemiro, Nacho, Morata, Illarra, Willian José.
Goals: Di Maria 10, Bale 85
0 Comments