Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 13,2014 SAA 06:59 USIKU
Waandaaji wa michuano ya kombe la dunia la Fifa kwa mwaka 2014 timu ya Brazil,wamefanikiwa kuibuka na Ushindi katika
mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa michuano hiyo kwa kuibanjua Croatia mabao matatu kwa moja.
Katika kipindi cha kwanza Croatia ndio walikuwa wa kwanza kupata bao baada ya mchezaji wa Brazil Marcelo kujifunga katika harakati za kuokoa mpira katika dakika ya 11,lakini bao hilo halikudumu sana maana Neymar alisawazisha katika dakika ya 29,na timu zote kwenda mapumziko zikiwa zimefungana bao 1 kwa 1.
Sent tumbling: Oscar of Brazil is tripped up by Sime Vrsaljko of Croatia |
Double up: Neymar of Brazil (left) celebrates scoring his second goal to give Brazil the lead |
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kushambuliana Lakini katika dakika ya 89 mchezaji wa Brazil Marcelo alifanyiwa mazambi kwa kuvutwa bega na mchezaji wa Croatia na hivyo refa kuamua upingwe penalti ambapo Neymar aliitumbukiza nyavuni dakika ya 71 na kuandikisha bao la pili kwa Brazili.
Nafasi ya Neymar ilichukuliwa na Ramires dakika ya 86 baada ya kocha Luiz Felipe Scolari kufanya mabadiliko.
Dakika ya 90 Oscar aliandikisha bao la tatu na la mwisho kwa timu ya Brazil na mchezo kumalizika kwa timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya timu ya Croatia.
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
Finishing it off nicely: Oscar curls in the third Brazil goal with the outside of his right foot
No stopping that: Stipe Pletikosa looks on as the ball goes past him and into the net for No 3
He's all heart: An emotional Oscar celebrates scoring Brazil's clincher
Going down easily: Fred falls under the challenge of Dejan Lovren and the referee gives a penalty to Brazil
A big hug from Big Phil: Luiz Felipe Scolari embraces Neymar following his equaliser for Brazil
Running the show: Neymar (left) is jubilant after scoring Brazil's first goal of the World Cup
Left foot forward: Neymar rifles in a shot from outside the box which sneaks into the corner
Despairing dive: Croatia goalkeeper Stipe Pletikosa fails to save Neymar's effort from the edge of the box
Long-range effort: Neymar's goal was from well outside the box
Arrowing in: Neymar's shot was powerful and accurate
Contrast: Neymar equalised just a couple of minutes after being booked (right)
Clattered: Neymar is flattened by Vedran Corluka in the second half
Smash: Luka Modric takes one in the face from Neymar during the first half
Elbowed out: Modric goes down after his clash with Brazil's No 10
In trouble: Neymar looks uncomfortable as Modric hits the deck
Cautionary tale: Neymar (left) receives a yellow card for his suspected elbow on Modric
Shocker: Marcelo (right) looks aghast as his own goal gives Croatia the lead, much to the delight of Ivan Perisic
Unexpected: Marcelo (second right) steers the ball beyond his own keeper Julio Cesar
Samba skills: Neymar (left) tries to turn past Croatia's Ivan Rakitic
Opening clash: Hulk of Brazil (right) and Croatia's Darijo Srna compete for the ball in the air
Nerves: Marcelo (left) and Neymar look pensive during the first half of the World Cup opener
Glamour: Claudia Leitte (left), Jennifer Lopez and Pitbull (right) perform during the opening ceremony
Brazil 3-1 Croatia (9pm)
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Paulinho (Hernanes 63), Gustavo, Hulk (Bernard 68), Oscar, Neymar (Ramires 88), Fred.
Subs: Jefferson, Fernandinho, Dante, Maxwell, Henrique, Willian, Jo, Maicon, Victor.
Subs: Jefferson, Fernandinho, Dante, Maxwell, Henrique, Willian, Jo, Maicon, Victor.
Booked: Neymar.
Goals: Neymar 29, 71pen, Oscar 90+1.
Croatia: Pletikosa, Srna, Corluka, Lovren, Vrsaljko, Modric, Rakitic, Perisic, Kovacic (Brozovic 61), Olic, Jelavic (Rebic 78).
Subs: Zelenika, Pranjic, Vukojevic, Schildenfeld, Sammir, Vida, Eduardo, Subasic.
Subs: Zelenika, Pranjic, Vukojevic, Schildenfeld, Sammir, Vida, Eduardo, Subasic.
Booked: Corluka.
Goal: Marcelo 11og.
Referee: Yuichi Nishimura (Japan)
0 Comments