Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:AZAM FC YATHIBITISHA KUACHANA NA MMOJA WA MAKOCHA WAO

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG.19,2015 SAA 01:30 USIKU

Klabu ya Azam Fc Imeachana na aliyekuwa kocha Msaidizi wa klabu hiyo Mganda George Nsimbe Best,ambapo kocha huyo tayari
amerudi kwao Uganda.
(Kutoka Kushoto)George Nsimbe Best akiwa na kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog ambaye naye pia alitimuliwa na Azam Fc
Akizungumza na  Jamii na Michezo Msemaji wa Klabu ya Azam Fc, Jaffary Idd Maganga amesema uongozi wa klabu ya Azam fc na kocha  George Nsimbe walikaa ka pamoja na kukubaliana maamuzi hayo.

MSIKILIZE JAFFARY IDD MAGANGA
 KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) . 

Post a Comment

0 Comments