Chelsea wamethibitisha kusajili Pedro Rodriguez kutoka katika klabu ya Barcelona kwa mkataba ambao unaweza kuongezeka hadi
£ 21.4m.
Pedro, 28, alikuwa anahusiana na kuhamia katika klabu ya Manchester United kabla ya dili hilo kubadilika.
Pedro was pictured at Chelsea's training ground alongside former Barcelona team-mate Cesc Fabregas
|
Winga, huyo ambaye pia anaweza kucheza kama mshambuliaji wa kati, aliiambia tuvuti rasmi ya Chelsea kuwa : 'Nina furaha sana kuwa hapa, na nina furaha kuanza kuitumikia Chelsea kuendeleza kutwaa mataji, shukrani kwa klabu na mashabiki kwa kunipa nafasi ya kuvaa jezi ya Chelsea “alisema Pedro
Masaa 11 pekee yalitosha kuipiku Man United katika mbio za kusaka saini ya nyota huyo hivyo Pedro amethibitisha kuwa London kwa ajili ya vipimo vya afya na anafuraha kujiunga na Chelsea… FC
Barcelona na Chelsea Pande zote mbili zimethibitisha uhamisho huo wa Pedro.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments