Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 19,2014 SAA 06:53 USIKU
Adios Spain au unaweza kusema Uhispania kwa heri,na hiyo nia baada ya kuvuliwa ubingwa rasmi wa dunia baada
ya kukubali kichapo cha mabao 2 kwa 0 kutoka kwa timu ya Chile usiku wa kuamia leo katika mchezo wa kombe la dunia wa kundi B uliopigwa Estadio do Maracana (Jornalista Mario Filho)
ya kukubali kichapo cha mabao 2 kwa 0 kutoka kwa timu ya Chile usiku wa kuamia leo katika mchezo wa kombe la dunia wa kundi B uliopigwa Estadio do Maracana (Jornalista Mario Filho)
Hii inamaanisha kuwa Chile na Uholanzi ndizo timu za kwanza kufuzu kwa mkono wa pili wa kombe la dunia la Brazil 2014.
Uhispania sasa wamejihakikishia tikiti ya ndege ya kurejea nyumbani pamoja na Australia ,Hii ni baada ya Uholanzi kushinda mechi yake ya pili na kuongoza kundi B ikiwa na alama 6 sawa na Chile.
Chile na Uholanzi hata hivyo zitakutana katika mechi ya kuamua yupi kati yao ataongoza kundi hilo,Mshindi wa pili katika kundi B atachuana na bingwa katika kundi A inayojumuisha wenyeji Brazil na washindi wa pili katika kundi hilo Mexico.
Uhispania sasa wamefungwa jumla ya mabao 7 watachuana na Australia katika mechi ambayo haitakuwa na umuhimu wowote .
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
Shock: The world champions are out of the 2014 World Cup after two consecutive defeats
Won't need these again: Iker Casillas throws his gloves to fans after a poor display at the Maracana
Great start: Eduardo Vargas celebrates after giving Chile the lead against Spain in the World Cup
Unconventional: Vargas fell to the floor while beating Iker Casillas in the Spanish net
Back of the net: The Real Madrid goalkeeper could do nothing about this goal
Blunder: But Casillas should have dealt with Charles Aranguiz's second for the Chileans better
Disappointing: Casillas only managed to claw away Alexis Sanchez's free-kick into the path of the goalscorer
Technique: Aranguiz's toe-punted effort found its way into the back of the net
Mabao ya Chile katika mechi hiyo yamefungwa na Eduardo Vargas Dk.20 pamoja na Charles Aranguiz Dk.43.
Diego Costa's heat map
Celebration: The Chilean side are through to the Second Round along with Holland
Gol! The beaten Spain players regroup after Chile double their lead
Disappointing: Vicente Del Bosque's future is now up in the air following the loss
Despair: Sergio Busquets missed a sitter at the start of the second half
Acrobatic: It was a wonderful assist by soon-to-be Chelsea striker Diego Costa
Our time: The stadium rise to applaud Chile After a wonderful first-half performance
Dejected: Casillas prepares to walk back onto the pitch after a poor first 45 minutes
Argument? The under-fire keeper tries to reason with his disappointed team-mates
Out on their feet: The Spanish team looked tired in the second half, and were outrun all game
Play acting? Pedro is unhappy with the referee after Gonzalo Jara rolls on the floor
Sloppy: Fernando Torres came off the bench but failed to inspire once again
Unsuccessful: Javi Martinez could not inspire a stronger defensive performance
Stopper: Claudio Bravo does well to keep out Santi Cazorla's late free-kick
Unhappy return: Costa snubbed playing for Brazil in favour of starting for Spain in his home country
Pre-match buffet: A sneak peak inside the Spanish dressing room before the game
Packed: Fans from around the world watch the game at the Copacabana beach in Rio de Janeiro
MATCH FACTS
Spain (4-2-3-1): Casillas 5, Azpilicueta 6, Martinez 5, Ramos 5, Alba 5.5; Busquets 5, Alonso 4 (Koke 46, 7); Silva 6, Iniesta 6, Pedro 4.5 (Cazorla 77, 5), Costa 4.5 (Torres 64).
Booked: Alonso.
Chile (3-4-1-2): Bravo 7; Medel 8, Silva 7, Jara 7; Isla 7, Aranguiz 7.5 (Gutierrez 64, 6), Diaz 7, Mena 7.5; Vidal 7.5 (Carmona 88); Vargas 7.5 (Valdivia 85), Sanchez 8.
Goals: Vargas 19, Aranguiz 43
Booked: Jara, Mena.
Referee: Mark Geiger (USA) 7.
0 Comments