Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 19,2014 SAA 06:10 USIKU
Bossi wa Uruguay Oscar Tabarez anasema Luis Suarez anaendelea vizuri baada ya upasuaji, lakini anakubali kuwa
mshambuliaji huyo hataweza kucheza kwa kiwango kama alichoonesha akiwa katika Premier League .
Mshambuliaji huyo wa Liverpool amekuwa akikabiliwa na maumivu ya goti kabla ya Kombe la Dunia, lakini baada ya kipigo kutoka kwa Costa Rica anatarajiwa kucheza dhidi ya England maarufu kama Simba watatu.
Tabarez alikataa kuthibitisha kama mchezaji huyo ataanza, na amekiri na mashabiki kuwa na subira na nyota wao .
BELOW: PICTURES OF LUIS SUAREZ'S SCAR AFTER SURGERY
Patience: Oscar Tabarez says people shouldn't expect the world from Luis Suarez should he start against England... whose scar from surgery is shown here
Recovering: The striker may start in the crucial World Cup Group D clash
Recovering: The striker may start in the crucial World Cup Group D clash, despite the knee problem
Pressure? Oscar Tabarez's side were beaten 3-1 by Costa Rica in their opening game in Brazil
Blow: Diego Lugano was ruled out of the game, but Tabarez says his tactics won't change
Tabarez pia alikataa kuthibitisha kikosi cha timu yake hiyo ambayo inapigania Group D ,na pia kama Diego Lugano atakuwepo.
"Nadhani kila kitu kinaenda vizuri kulikuwa hakuna sababu kwakwe kutocheza Kombe la Dunia. Yeye (Suarez) anaendelea vizuri."alisema Oscar Tabarez
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
Confident: Edinson Cavani speaks at the press conference in Sao Paulo
Despair: Suarez was forced to watch on as Uruguay lost to Costa Rica
0 Comments