Michuano ya Netball ya kombe la Taifa yamemalizika leo katika viwanya vya Tcc Chang'ombe jijini Dar es salaam,kwa timu ya
TEMEKE kuibuka na ubingwa wa michuano hiyo.
Mashindano yaliyoanza tarehe 3 mwezi huu,yamemalizika siku ya jumamosi tarehe 10.
Mchezo wa kukamilisha ratiba Dodoma waliwafunga Pwani kwa magoli 20 kwa 17 |
Temeke imeweza kuibuka mabingwa baada y kucheza michezo Saba na kushinda michezo yote saba.
Timu zilizoshiriki |
Mgeni rasmi Phares Magesa akitoa nasaa kwa wachezaji |
Shy-Rose Bhanji akitoa neno kwa wachezaji |
Shy-Rose Bhanji alitoa fedha kwa mshindi wa mashindano ya Taifa Cup |
Mgeni rasmi Phares Magesa akikabidhi hundi ya fedha kwa washindi TEMEKE |
Washini wa michuano hiyo TEMEKE wakikabidhiwa kikombe |
Mmoja wa viongozi wa timu ya mjini Magharibi akitoa malalamiko yake |
Dodoma wakishangilia ushindi dhidi ya Pwani |
Wageni waalikwa timu ya mjini Magharibi imeweza kuwa washindi wa pili,ambapo walilalamikia kupewa fedha na kikombe,baada ya kupewa kikombe tu,wakiambiwa kuwa wao ni waalikwa,lakini wakiahidiwa kupewa fedha na mgeni rasmi.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments