Mkuu wa kitengo cha Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro akiwa na Mkuu wa idara ya sheria wa klabu ya Yanga Frank Chacha. |
Mkuu wa idara ya sheria wa klabu ya Yanga Frank Chacha hii
leo siku ya Jumatatu amekutana na waandishi wa habari na
kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali ya kisheria na mikataba na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni.
kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali ya kisheria na mikataba na hatua zilizochukuliwa hivi karibuni.
Frank Chacha amezungumzia swala la aliyekuwa mlinda mlango
wa timu hiyo Juma Kaseja,Emmanuel Okwi pamoja na mchezaji raia wa Brazil
Jaja,ambapo klabu hiyo imesema wachezaji hao wamevunja mkataba na klabu hiyo.
MSIKILIZE MWANASHERIA MKUU WA YANGA FRANK CHACHA
0 Comments