Wapo radio Fm yenye makazi yake kurasini jijini Dar es salaam wiki hii iliandaa semina ya siku mbili kwa wafanyakazi wake
iliyofanyika katika Ofisi zake,nia na madhumuni ya semina hiyo ni kutoa elimu kwa wafanyakazi wake walioko katika sekta ya utangazaji na uandishi wa habari.
iliyofanyika katika Ofisi zake,nia na madhumuni ya semina hiyo ni kutoa elimu kwa wafanyakazi wake walioko katika sekta ya utangazaji na uandishi wa habari.
ZIFUATAZO NI PICHA ZA SEMINA HIYO
Mtoa mafunzo Joseph Msami alitokelezea kizamani |
watangazaji na waandishi wa habari wa Wapo radio wakiwa makini |
Elibariki Minja Mhariri mkuu wa Wapo Radio Gazeti la msema Kweli Pia alikuwepo |
Barikieli Minja Ambaye ni katibu mkuu wa Wapo Mission Internation akisikiliza kwa makini |
John Rwezaula ambaye ni Askofu mwangalizi wa BCIC Mbezi Beach |
kutoka kulia ni,Mhariri wa Idara ya habari Rachel Mwakagile |
Elibariki Minja Mhariri mkuu wa Wapo Radio Gazeti la msema Kweli akifafanua jambo |
Amosi Kalani akiuliza jambo |
Waandishi wa Wapo Redio wakifurahi jambo |
JUU NA CHINI: Askofu Mkuu Sylivester Gamanywa akitoa somo kwa waandishi na watangazaji wa Wapo redio |
Rais wa THE WARD AND PEACE ORGANISATIONS (WAPO) Sylivester Gamanywa akitoa somo |
SIKU YA PILI
Joseph Msami akimpongea Father Filimon Rupia baada ya kutoa somo la Editing |
Angelina Lukindo akifafanua jambo |
wakati wa msosi |
Edison Kanisa na David Gille wakipiga Msosi |
Kivutio kilikuwa kiatu cha Joseph Msami |
0 Comments