Meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini amejaribu kuweka sawa swala la Frank Lampard lakini imekataa
kumsaini kiungo huyo kwa misingi ya mkataba wa kudumu.
Siku ya Ijumaa, mabingwa wa Ligi Kuu pamoja na mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka upande wa New York City FC walikiri kufanya makosa kuhusu usajili wa mchezaji huyo kuhamia katika uwanja wa Etihad .
machafuko hayo yalisababisha Lampard kutolewa taarifa ikielezea kuwa anayo nafasi ya kucheza katika klabu ya Man City hadi mwishoni mwa mwezi Januari.
"Nadhani ni suala ambalo Limemalizika," alisema kocha huyo Raia wa Chile . "Frank sasa atakuwa hapa. Najua kwamba kuna maneno mengi tofauti kuhusu Frank, juu ya hilo.
"Mimi naheshimu wao wote, lakini uamuzi umechukuliwa tayari na Frank atakaa hapa mpaka mwisho wa msimu." alisema Manuel Pellegrini.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments