Taarifa kutoka katika klabu ya Yanga zinasema kuwa Kikao cha Kamati ya Utendaji kilichoketi tarehe 10 Aprili 2014 Makao Makuu ya klabu kiliazimia kuwa Mkutano Mkuu wa
Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014.
Uchaguzi wa YANGA SC utafanyika tarehe 15 Juni 2014.
Taarifa zinasema taratibu zote za Uchaguzi zitatangazwa hapo baadae na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mh Alex Mgongolwa.
0 Comments