Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 19,2014 SAA 07:00 USIKU
Mshambuliaji kinda wa West Ham Dylan Tombides amefariki dunia baada ya miaka mitatu ya kupambana na kansa ya
korodani.
korodani.
Mshambuliaji huyo wa Australia mwenye umri wa miaka 20 , ambaye alicheza mechi yake ya kwanza na kikosi cha kwanza miaka miwili iliyopita, aliaga dunia siku ya Ijumaa akiwa na familia yake katika kitanda chake.
Aliungana karibu na familia: Tombides (wapili kulia) alikuwa akisaidiwa na baba yake Jim, ndugu yake Taylor na mama yakeTracylee
|
Matarajio yake ni kuwa International: Tombides akicheza mechi dhidi ya Japan, michuano ya Chini ya miaka 22,Asia
|
Huzuni: Tombides inapeleka ujumbe wa kuzaliwa kwa mama yake baada ya kufunga bao katika michuano ya Chini ya miaka 17 katika Kombe la Dunia mwaka 2011
|
Kurudi na Kupambana: Tombides akionyesha kovu la upasuaji katika mahojiano na Neil Ashton mwezi Mei 2012
|
Tombides kwa mara ya kwanza alikutwa na kansa ya wakati akiiwakilisha Australia kipindi cha mwaka 2011 akiwa na kikosi cha chini ya miaka 17 katika mashindano ya Kombe la Dunia nchini Mexico.
Baada ya kukutwa na ugongwa huo alipigana kurudi katika kikosi cha kwanza cha timu yake ya kwanza mbali na kuwa benchi 'katika mechi ya kombe la Ligi dhidi ya Wigan mwaka 2012.
Kifo chake Kitakuwa pengo kwa West Ham dakika kabla ya kuwa nyumbani katika mechi dhidi ya Crystal Palace siku ya jumamosi.
Rais wa FIFA Sepp Blatter alitoa salamu za rambirambi kwa familia ya Tombides , kwa kutweet:" mawazo yangu & sala niko pamoja na familia ya Dylan Tombides, @ whufc_official & @ leo FFA. Kapumzike kwa amani Dylan".
0 Comments