Ticker

6/recent/ticker-posts

MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WATIMIZA LENGO LAO (PICHA)

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 29,2014 SAA 09:30 ALASIRI
Mashabiki wa Manchester United wametimiza Lengo lao kwa
kupitisha bango lililoandikwa “Wrong One: Moyes Out.” Juu
ya paa la uwanja wa Old Trafford Dakika Moja baada ya mchezo kuanza dhidi ya Aston Villa. 






Bango hilo limeandaliwa na mashabiki ambao hawamtaki kocha David Moyes likiwa kinyume ya lile walilotaka kulishusha kutoka kwenye jukwaa la Stretford End linalosomeka ‘Chosen One’.
Mashabiki hao wanaochukizwa na mwenendo wa timu hiyo chini ya uongozi wa David Moyes, walifanikiwa kupata ndege siku moja kabla ya mchezo na kuipitisha siku ya leo juu ya paa la uwanja wa Old Trafford katika mchezo wao na Aston Villa na kutimiza lengo lao la kufikisha ujumbe huo.





Share hii kisha toa maoni yako.



Post a Comment

0 Comments