Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.24.2018 SAA 03:54 USIKU
Kocha msaidizi wa Klabu ya Simba Massoud Djuma amekutana na Kocha mpya wa klabu hiyo Pierre Lechantre
ambaye atakuwa kocha mkuu na kocha wa viungo Mohammed katika mazoezi ya timu hiyo Jumanne 24 January.
Na Jamii na Michezo imepata nafasi ya kuzungumza na kocha Massoud Djuma,ili kufahamu mtazamo wake kwa ujio wa kocha huyo mpya.
0 Comments