Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.25.2018 SAA 03:56 USIKU
Amezungumza juu ya Kikosi cha simba na nafasi yao pia ya kuwaa taji la ligi kuu.
.
Beki wa pembeni wa klabu ya Simba ambaye hivi karibuni alicheza kwa mara
ya kwanza timu hiyo tangu aliposajiliwa, Shomari
Kapombe,ambaye pia
alifanikisha mpango wa kupatikana kwa bao la pili katika mchezo dhidi ya Kagera Suger, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipopata
majeraha ya mguu mwaka jana.Amezungumza juu ya Kikosi cha simba na nafasi yao pia ya kuwaa taji la ligi kuu.
BOFYA VIDEO
0 Comments