Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.OCT.6,2016 SAA 02:09 USIKU
Uongozi wa klabu ya Azam Fc hii kupitia kwa Mtendaji mkuu wa
klabu hiyo Saad kawemba wamezungumzia suala la mchezaji Farid
Mussa kuwepo nchini.
Kawemba amezungumzi swala hilo la Farid ambaye kwa sasa yupo
nchini akisubiri kibali cha kufanya kazi nchini Spain kwenda kucheza katika
klabu ya Tinelife kwa Mkopo,amesema kama
kuna mtu yoyote ambaye ana dhani
mchezaji huyo atasalia nchini ,Afute mawazo hayo
Lakini pia Jamii na michezo imepata wasaa wa kuzungumza na mzachezaji huyo Faridi Mussa ambaye kwa sasa yupo nchini
akisubiri kibali cha kufanya kazi nchini Uhispania na kujiunga na klabu ya Tenalife.
SIKILIZA HAPA
SIKILIZA HAPA

0 Comments