Ticker

6/recent/ticker-posts

SIR ALEX FERGUSON AMTAJA BINGWA WAKE WA LIGI KUU ENGLAND

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.Des.08,2015 SAA 11:19 JIONI
Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson ,anaamini Leicester City inaweza kushinda Ligi Kuu England
msimu huu - kama watatenda haki katika dirisha la usajili la mwezi Januari .


Timu hiyo ambayo iko juu katika msimamo wa ligi kutokana na mafanikio ya kushinda michezo tisa kati ya 15, na kupoteza mara moja tu hadi sasa msimu huu.
Na Ferguson, ambaye alishinda mara 13 taji la Ligi Kuu wakati akiitumikia kwa miaka  27 klabu ya Manchester United, anaamini Leicester wakijiimarisha kwa na nafasi yoyote, kwa mara ya kwanza watachukuwa taji hilo.
Jamie Vardy celebrates his goal against Manchester United last month


"Hii timu ina nguvu, kasi,Peter Schmeichel alipokuwa akisema, kwa sasa, Leicester ni timu bora katika ligi, bila shaka. Lakini, swali ni, kwa muda gani wamechukuwa mara ya mwisho? 
"Kwa hiyo, kwa klabu ndogo kihistoria kama Leicester City, wana changamoto. Jinsi gani wananaweza kwenda na kikosi hiki kwa sasa? Je, wanaweza mpaka mwisho wa msimu mzima?"


"Ni meneja Claudio Ranieri akisema kwa wamiliki? Kwa sababu kama klabu ingekuwa yake, ningependa uwekezaji mwezi Januari, kwa sababu hii ni fursa kubwa ," alisema Ferguson.

Sir Alex Ferguson ,jana pia alimkingia kifua kocha Jose Mourinho wa klabu ya Chelsea akisema kuwa ''itakuwa ujinga'' mmiliki wa Chelsea Roman Abrahimovich kumfuta kazi Jose Mourinho,kutokana na kwamba,na mabingwa hao watetezi wamesalia katika nafasi ya 14 baada ya kupoteza mechi 8 kati ya 15 za kwanza msimu huu.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) 

Post a Comment

0 Comments