Ticker

6/recent/ticker-posts

BARCELONA WAMSAJILI MCHEZAJI WA ATLETICO MADRID,WASEMA DAU LINAWEZA KUONGEZEKA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JULY.07,2015 SAA 11:37 ALFAJIRI
Barcelona wamemsaini Kiungo wa Uturuki Arda Turan kutoka Atletico Madrid kwa ada ya awali ya £ 24m.
Mabingwa hao wa Hispania walisema mpango huo kwa mchezaji  huyo mwenye umri wa miaka 28 unaweza kufikia hadi £ 29m na kuna uwezakano wa kuongeza nyongeza.

Turan hawataweza kucheza kwa klabu hiyo hadi Januari 2016,kutokana Barcelona inatumikia adhabu ya FIFA ya kufungiwa kusajili.
 Arda Turan  alifunga mabao 22 na pasi za kusaidia kufunga 32  katika misimu minne na Atletico baada ya kujiunga kutoka Galatasaray mwaka 2011,na alicheza mara 81 kwa timu yake ya taifa Uturuki.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments