Ticker

6/recent/ticker-posts

MANCHESTER CITY WAMSAJILI DOGO WAKITURUKI WA MIAKA 18

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JULY.07,2015 SAA 11:11 ALFAJIRI

Klabu ya Manchester City imemsaini kijana mwenye umri wa miaka 18  kutoka Uturuki mshambuliaji Enes Unal kutoka k
labu ya Bursaspor kwa ada ambayo haikuwekwa wazi.

Unal, ambaye alicheza mara moja akiwa na Uturuki, alifunga mara nne katika mechi 37 alizocheza akiwa Bursa iliyomaliza ya sita katika Super Lig Uturuki msimu uliopita.
Alicheza mechi yake ya kwanza kama mchezaji wa kimataifa dhidi ya Luxemburg mwezi Machi, baada ya awali kufunga mabao 24 katika michezo 25  katika kikosi cha Uturuki chini ya miaka 16.
Mwaka 2013,akiwa na mika 16, akawa mfungaji mdogo katika listi ya wafungaji bora wa Kituruki.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)

Post a Comment

0 Comments