1.Miongoni mwa Taarifa utakazozisikia ni pamoja na ya Shirikisho la soka Tanzania Tff leo,limeamua kuwa mchezaji mchezaji
Ramadhani Yahya Singano 'Messi' yuko huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.
Ramadhani Yahya Singano 'Messi' yuko huru na sasa anaweza kujiunga na timu yoyote.
![]() |
| Wawakilishi wa Ramadhani Yahya Singano 'Messi' wakipongzana |
![]() |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC,Zacharia Hans Poppe |
Taarifa kutoka kwenye kikao cha Kamati ya Sheria Maadili na Hadhi za Wachezaji ya TFF kilichofanyika leo, imesema kwamba Simba SC walishindwa kutekeleza baadhi ya vipengele vya Mkataba, hivyo wanapoteza haki za kummiliki mchezaji huyo.
2.Timu ya Taifa ya Tanzania imrejea nchini,na Mshauri wa Ufundi wa timu ya hiyo,gwiji Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden’,amezungumza katika mahojiano maalum na Jamii na michezo na kuelezea ushauri wa kwanza alioutoa kwa bechi la ufundi la stars,na kusisitiza uzalendo kwa wachezaji na mashabiki.
3.Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa ametoa shukurani zake kwa watanzania na kutoa wito kwa serikali,ni wito upi huo?
SIKILIZA HAPA TAARIFA ZA MICHEZO
KIMATAIFA.
KUNATAARIFA JUU YA CHAGUO LA MANCHESTER UNITED MORGAN SCHNEIDERLIN.
USAJILI ULIOFANYA NA MAN CITY PAMOJA NA BARCELONA.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)




0 Comments