Mabingwa watetezi wa kombe la mtani jembe Timu ya Simba imeibuka na ushindi baada ya kuichapa timu ya Yanga 2-0 katika
mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Taifa.![]() |
eMANUEL OKWI AKIKABIZIWA KIKOMBE CHA USHINDI NA WAZIRI WA MICHEZO DK.FENELLA MUKANGARA |
![]() |
WACHEZAJI WA SIMBA WAKISHANGILIA USHINDI |
Mabao ya Simba yalifungwa na Awadh Juma na Elias Maguri katika kipindi cha kwanza.
![]() |
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA KUIFUNGA YANGA MABAO 2-0 KATIKA MCHEZO WA NANI MTANI JEMBE |
SIMBA kwa mara ya pili wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa Nani Mtani Jembe baada ya kutwaa ubingwa huo mwaka jana walipoichapa Yanga bao 3 -1.
![]() |
HARUNA NIYONZIMA AKILIBADILISHANA JEZI NA EMANUEL OKWI |
![]() |
VIONGOZI WA SIMBA WAKIVISHWA MEDALI |
![]() |
KIPA IVO MAPUNDA AKIIMIZA WATU WASOME BIBLIA KWA MAANDISHI MGONGONI |
![]() |
Tambwe na Danny Sserunkuma wakivishwa medali baada ya mchezo |
![]() |
WACHEZAJI WA YANGA PIA WALIVISHWA MEDALI |
![]() |
REFA MWANA MAMA,JONESIA RUKYA KUTOKA BUKOBA MKOA WA KAGERA ALIJITAHIDI KUCHEZESHA MPIRA VIZURI . |
Simba pia wamefanikiwa kupata zawadi kwa kutwaa milioni 92 huku Yanga wakiondoka milioni 7.
![]() |
(POLE SANA) KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWAKUMBUKA WAZAZI WAKE AMBAO WAMEFARIKI DUNIA |
![]() |
SAFU YA VIONGOZI KUTOKA SERIKALINI NA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI |
![]() |
KIPA IVO MAPUNDA AKIWASALIMIA MASHABIKI BAADA YA MECHI |
![]() |
MASHABIKI WA YANGA WAKITOKA KINYONGE BAADA YA MECHI KUMALIZIKA (WENGINE NA MIDOLI YAO MGONGONI) |
ANGALIA PICHA KADHAA ZA MCHEZO
![]() |
WACHEZAJI WA SIMBA WAKISHANGILIA BAO LA KWANZA |
![]() |
MATOKEO YALISALIA MPAKA MPIRA UNAMALIZIKA |
![]() |
MASHABIKI KADHAA WA YANGA WALIZIMIA UWANJANI |
![]() |
BURUDANI BAADA YA KIPINDI CHA KWANZA KUISHA |
![]() |
Ivo Mapunda na taulo lake akiingia baada ya mapumziko |
![]() |
MASHABIKI WA YANGA WALIANZA KUONDOKA MAPEMA KABLA YA MPIRA KUMALIZIKA |
![]() |
Danny Sserunkuma akiingia uwanjani kipindi cha pili |
![]() |
MBWEMBWE ZA MASHABIKI WA SIMBA BAADA YA KUFUNGA MABAO MAWILI |
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments