Michuano ya kimataifa ya mchezo wa kriketi kwa wanawake chini ya miaka 19,imemalizika siku ya Desemba 9 mjini Dar es Salaam ambapo mabingwa watetezi wa mashindano hayo
Uganda imeibuka mshindi wa michuano hiyo.
Uganda imeibuka mshindi wa michuano hiyo.
Uganda wameibuka washindi baada ya kuifunga kenya kwa tofauti ya mikimbio 52,baada ya Uganda kukimbia mikimbio 73 kwa mikimbio 21 ya timu ya Kenya.
Timu ya Uganda wakipambana na Kenya |
Wachezaji wa Uganda na Kenya wakipongezana |
Wenyeji wa michuano hiyo Tanzania wamekuwa washindi wa tatu baada ya kufanikiwa kuipa kichapo Bostwana kwa mikimbio 89 dhidi ya mikimbio 69.
Mabingwa Timu ya Uganda |
Michuano hiyo ilihuisha timu 6 za Kriketi kutoka Afrika,Kenya,Rwanda,Mozambiq,Uganda,Botswana na wenyeji Tanzania
0 Comments