Bournemouth v Aston Villa Agosti 8
Baada ya Bournemouth kupanda daraja, itakuwa ni kipimo chao cha kwa kwanza katika historia yao nyumbani watakapowakalibisha Aston Villa katika mechi yao ya ufunguzi.
| Eddie Howe |
Eddie Howe ameongoza vijana wake wa Bournemouth kupanda Ligi Kuu.
Manchester City v Chelsea, Agosti 15
Manuel Pellegrini bado ana hamu ya ushindi dhidi ya Jose Mourinho tangu Mreno huyo arudi Uingereza mwaka 2013, hata hivyo, bosi wa Chelsea Mourinho anatarajia upinzani mkubwa, Na ameahidi kuwa imara watakapokutana.
Chelsea ilimaliza kampeni 2014/15 kwa mafanikio, lakini Manchester City ilimaliza kwa kupokonya taji lao na timu hiyo mnamo mwaka huu. Frank Lampard alikimbilia City baada ya kutua kwa Andre Schurrle msimu uliopita, lakini Chelsea wana matumaini ya kuchukua makombe yote matatu msimu huu.
Manchester United v Liverpool, Septemba 12
Liverpool itanza msimu na Ratiba dhidi ya Stoke City, Arsenal, Manchester United, Everton, Tottenham, Chelsea na Manchester City,lakini presha itakuwa kwa Brendan Rodgers kama matokeo hayatakuwa mazuri, wakati watapowasili Old Trafford Septemba 12 utakuwa mchezo muhimu. United walishinda 3-0 msimu uliopita, na kama Liverpool watafungwa tena dhidi ya wapinzani wao wa zamani itakuwa habari mbaya kwa Rodgers.
Wayne Rooney alifunga kwa upande wa Manchester United dhidi ya Liverpool msimu uliopita
Chelsea v Arsenal, Septemba 19
Kushindwa kwa Wenger dhidi ya Mourinho katika michzo 13 waliowahi kukutana , lakini kocha huyo atapata nafasi nyingine tena Septemba 19 mwaka huu .
Baada ya mafanikio ya kushinda Kombe la FA, kuna hisia ya matumaini kwa klabu hiyo ya Emirates kwenda katika kampeni mpya ya Ligi Kuu.
Tottenham v Manchester City, Septemba 26
| Sergio Aguero alifunga dhidi ya Tottenham katika dimba la White Hart Lane msimu uliopita |
Tottenham wataweza kumaliza katika nafasi nne za juu ? mchezo wao katika dimba la White Hart Lane mwishoni mwa Septemba itakuwa fursa kubwa kwa vijana hao wa Mauricio Pochettino kutoa taarifa ya dhamira yao- pamoja na kumaliza watano msimu uliopita.
Everton v Liverpool, Oktoba 3
Itakuwa Merseyside derby ya kwanza ya msimu katika ratiba, na inayosubiriwa kwa shauku kubwa.
Manchester United v Manchester City, Oktoba 24
Baada ya msimu wa mpito chini ya Louis van Gaal, Manchester United wanapaswa kurudi katika sura mpya msimu 2015/16. United walimalizika katika nafasi ya nne msimu uliopita,watakuwa na kazi ngumu katika derby hiyo.
Manchester City v Liverpool, Novemba 21
Novemba 21 inaweza kuwa siku ambayo Raheem Sterling atacheza dhidi ya Liverpool kwa mara ya kwanza? winga huyo kijana anaonekana kuwa chaguo namba moja kwa City katika dirisha hili la uhamisho na Liverpool wanatarajiwa huenda wakapokea fedha mapema au baadaye.
Newcastle v Sunderland, Machi 19
| Steve McClaren |
Kocha mpya Steve McClaren itabidi kusubiri hadi Machi kwa ajili ya nafasi yake ya kuwaokoa Newcastle kwa kushindi mchezo wao wa kwanza wa Nyumbani dhidi ya wapinzani wao Sunderland tangu mwaka 2010. Sunderland wamekuwa mshindi michezo yao mitano iliyopita kwa pande hizo mbili.
Chelsea v Manchester City, Aprili 16
Huu utakuwa mchezo mwingine kukutana baada ya awali Man city kuwa nyumbani,ni jambo la kusubili maana Chelsa watakuwa katika dimba la Stamford Bridge.
Ratiba yote 2015/16: bonyeza jina la klabu kuona ratiba kwa kila klabu
- Arsenal fixtures
- Aston Villa fixtures
- Bournemouth fixtures
- Chelsea fixtures
- Crystal Palace fixtures
- Everton fixtures
- Leicester City fixtures
- Liverpool fixtures
- Manchester City fixtures
- Manchester United fixtures
- Newcastle United fixtures
- Norwich City fixtures
- Southampton fixtures
- Stoke City fixtures
- Sunderland fixtures
- Swansea City fixtures
- Tottenham Hotspur fixtures
- Watford fixtures
- West Bromwich Albion fixtures
- West Ham United fixtures
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments