Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 26,2014 SAA 04:1 USIKU
Ryan Giggs ameiongoza Manchester United kupata ushindi wa kwanza akiwa kama kocha aliyekabidhiwa madaraka kwa
muda wa kukinoa kikosi cha Old Trafford na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 0.
muda wa kukinoa kikosi cha Old Trafford na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 0.
Wayne Rooney na Juan Mata wote walifunga mara mbili katika mchezo huo ambapo Giggs alisimamia vizuri kabisa na kuibuka na ushindi mzito dhidi ya Norwich.
Bao la kwanza la Wayne Rooney alifunga kwa mkwaju wa penalti Dk.41 kisha la pili akaweka katika dakika ya 48,na Juan Mata mabao yake aliyapata katika dakika ya 63 na 73.
Man Utd: De Gea 6, Jones 6, Ferdinand 7, Vidic 7, Evra 6, Valencia 6.5, Carrick 6, Cleverley 5 (Hernandez 71, 6), Kagawa 5 (Young 65, 6), Rooney 8, Welbeck 7 (Mata 60, 7).
Subs not used: Smalling, Lindegaard, Nani, Fletcher.
Booked: Evra.
Goals: Rooney (pen) 41, 48, Mata 63, 73.
Norwich: Ruddy 7, Whittaker 6, Martin 5.5, Turner 6, Olsson 5.5, Snodgrass 6, Howson 5.5, Johnson 6, Redmond 6 (Hooper 69, 5), Fer 7 (Tettey 80, 5), Van Wolfswinkel 5 (Elmander 57, 5).
Subs not used: Bunn, Gutierrez, Ryan Bennett, Murphy.
Booked: Howson.
Attendance: 75,208.
Ref: Lee Probert (Wiltshire).
0 Comments