Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ARSENAL YAICHAPA MANCHESTER CITY 3- 0

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.Aug.10,2014 SAA 01:00  USIKU

Arsenal
Arsenal wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa sifuri dhidi ya Manchester City katika mchezo wa ngao ya hisani
ambao anaashiria ufunguzi wa ligi kuu nchini England.
Mabao ya Arsenal inayoongozwa na kocha Arsene Wenger yamefungwa na Santi Cazorla katika dakika ya 21 pamoja na  Aaron Ramsey katika dakika ya 42.

Na bao la tatu  la Arsenal liliwekwa nyavuni na oliver Giroud.

ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
Smile everyone: Former Arsenal striker Ian Wright takes a selfie in front of Gunners fans
No hard feelings: Referee Michael Oliver looks on as Mikel Arteta of Arsenal helps Edin Dzeko of Manchester City to his feet
Strike it lucky: Aaron Ramsey doubles Arsenal's lead three minutes before the break

Running away with it: Arsenal's 2-0 lead came through Ramsey's strike after they dominated the first half
Cheer we go: Aaron Ramsey of Arsenal celebrates his goal to double Arsenal's lead
Breakthrough: Santi Cazorla of Arsenal scores the opening goal at Wembley
Deserved: Cazorla's goal came after a spell of dominance for Arsenal
Curtain raiser: The two teams make their way out onto the Wembley turf before kick-off


Arsenal: Szczesny, Debuchy, Chambers, Koscieln (Monreal 46), Gibbs, Arteta, Sanchez (Oxlade-Chamberlain 46), Ramsey (Campbell 86), Wilshere (Flamini 68), Cazorla (Rosicky 70), Sanogo (Giroud 46).

Subs: Martinez.

Goals: Cazorla 21, Ramsey 42, Giroud 60
Man City: Caballero, Clichy, Boyata, Nastasic, Kolarov (Richards 76), Jesus Navas (Sinclair 85), Toure (Zuculini 46), Fernando, Nasri (Silva 46), Dzeko (Milner 46), Jovetic.

Subs: Hart, Rekik.

Booked: Fernando.
Referee: Michael Oliver (Northumberland)


Post a Comment

0 Comments