Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 24,2014 SAA 02:00 USIKU
Everton wanamtaka Cleverley kwa £ 8m
Bosi wa Everton Roberto Martinez ana nia ya kuwa tena na kiungo wa Manchester United Tom Cleverley, ambaye
alikuwa naye alipokuwa kocha katika klabu ya Wigan na atatoa thamani ya £8 million,lakini pia amevutiwa na Danny Welbeck.
Chanzo: Daily Mail
Alhamisi Aprili 24, 2014 16:30
Barcelona wamefunga makubariano na Hummels
Barcelona wamefunga makubaliano kimkataba ya kumsaini mlinzi wa Borussia Dortmund Mats Hummels, na makampuni makubwa ya La Liga yana nia ya kuimarisha ushirikiano, na inatokana ikiwa Carles Puyol ataondoka mwisho wa msimu.
Chanzo: AS
Alhamisi Aprili 24, 2014 16:21
Deulofeu kubaki katika Everton
Baada ya Fifa kutangaza kuwa wamesitisha athabu waliyoipa timu ya Barcelona ya kuwapiga marufuku kusajili wala kuuza wachezaji,klabu hiyo sasa iko tayari kumruhusu Gerard Deulofeu kutanua mkopo wake wa kukaa pamoja na Everton kwa msimu zaidi.
Tottenham kumchukuwa Moyes
Tottenham watamchagua meneja wa zamani wa Manchester United na Everton David Moyes katika kipindi cha majira ya joto kwa ajili ya kumleta Mscot huyo kuchukua nafasi ya Tim Sherwood.
Chanzo: Evening Standard
Alhamisi Aprili 24, 2014 12:05
Man Utd wafungua mazungumzo na kwa ada ya £54m ili kumchukuwa Cavan

Wawakilishi wandamizi wa Manchester United wameripotiwa kukutana na wakala wa Edinson Cavani ya juu ya mapendekezo kwa ada ya uhamisho wa £54 million kwa mashambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain .
Alexis Sanchez hajakubaliana na Juventus
Mshambuliaji wa Barcelona Alexis Sanchez hajakubaliana kimkataba na Juventus licha ya uvumi uliozagaa.Raia huyo wa Chile anataka kuondoka Barcelona lakini bado hajaamua juu maamuzi yake. Mshambuliaji Arturo Vidal wa Juve unaweza kumletea mchezaji huyo katika Serie A
Chanzo: Sport
Alhamisi Aprili 24, 2014 08:41
Schalke kutanua mkataba wa Uchida
Schalke wanataka kutanua mkataba wa Atsuto Uchida kwa miaka miwili, mkataba utakao dumu hadi 2017. Klabu hiyo ya Bundesliga kwa sasa iko katika mazungumza na beki huyo wa Japan na wawakilishi wake.
Chanzo: kicker
Alhamisi Aprili 24, 2014 07:16
Barcelona kujaribu ada ya € 30m kwa Ozil
Barcelona wana andaa ofa kabambe ya €30 million (£24.7m) kwa mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil. Mjerumani huyo aliondoka Real Madrid kwa ada ya £ 42.5m na kwenda kukabiliana na soka la Kiingereza.
Chanzo: talkSPORT
Alhamisi Aprili 24, 2014 07:14
De Sciglio kuangalia kuondoka AC Milan
Kwa mujibu wa ripoti YA La Gazzetta dello Sport,mchezaji wa kimataifa wa Italia Mattia De Sciglio anaangalia uwezekano wa kuondoka AC Milan. Real Madrid wamekuwa wanaohusishwa na uhamisho wa beki huyo.
0 Comments