Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 25,2014 SAA 11:00 ASUBUHI
Ni mwanamke ambaye alikuja kumsaidia Petr Cech
Daktari wa kikosi cha timu ya kwanza ya Chelsea Eva Carneiro.Alizaliwa katika mji wa Gibraltar kwa baba yake wa
Kihispania na mama yake ni muiingereza , Eva alisomea Udaktari katika Chuo Kikuu cha Nottingham kabla ya kufanya kazi za upasuaji wa dharula katika Nyanda za Juu.Alisoma Australia, alipata MSc(Master of Science) jijini London na alihitimu mafunzo ya utaalamu West Ham.
Kihispania na mama yake ni muiingereza , Eva alisomea Udaktari katika Chuo Kikuu cha Nottingham kabla ya kufanya kazi za upasuaji wa dharula katika Nyanda za Juu.Alisoma Australia, alipata MSc(Master of Science) jijini London na alihitimu mafunzo ya utaalamu West Ham.
Daktari Eva Carneiro akimsaidia Petr Cech mjini Madrid |
Furaha : Carniero akipose kwa ajili ya picha pamoja na shabiki wa Chelsea aliyesafiri timu.kwa mbaaali jua la mji wa Madrid |
Lini yeye alijiunga na Chelsea?
Baada ya kufanya kazi katika kituo cha British Olympic Medical Institute ya kusaidia wanariadha katika michezo ya Olimpiki Beijing, na timu ya wanawake ya mpira wa miguu ya England . Alijiunga na the Blues mwaka 2009 kama Daktari wa ziada katika timu .
Andre Villas-Boas alimpeleka katika timu ya kwanza kwa mara ya kwanza mwaka 2011.
Jinsi gani aliingia katika soka?
Carneiro alianguka katika upendo wa mchezo wa soka wakati aposafiri nchini Mexico. Aliangalia mechi kati ya Mexico na Brazil wakati wa mwaka 1998 Kombe la Dunia nchini Ufaransa na ilivutiwa.
Upendo ukazidi,alipenda kucheza lakini akapambana na majeruhi.
'Ilinijenga mimi nadhani ilinifanya nikue zaidi kuliko wengine katika kutibu majeraha na hii imesababisha kuvutiwa na udaktari wa michezo, "alisema mwaka 2009.
Pigo: Terry aliwekwa kwenye machela baada ya kuumia kifundo cha mguu |
Mambo poa:Terry akionesha dole gumba lakini atakosa mchezo wa pili dhidi ya Atletico Madrid |
Je, yeye ni shabiki wa timu gani?
Real Madrid. Ambayo inaweza kumfanya asifanye kazi vizuri kama timu hiyo itakutana na Chelsea kama wote watafuzu katika fainali ya Ligi Mabingwa.
Kitu kingine chochote unachohitaji kujua?
Kama kijana Carneiro anafurahia kucheza ballet ambao ni mchezo wa asili wa nchini italia na riding, yeye anapenda kusafiri - na simu ya mkononi, kutokana na aina ya kazi yake - pamoja na michezo ya salsa na samba. Yeye pia anapenda mchezo wa kuteleza na maji (surf), jambo ambalo alijifunza nchini Australia.
' wakati ule wa mchezo wa surf, asubuhi mapema na jioni siwezi kuhesabu furaha katika maisha yangu, "alisema.
Uchungu: Petr Cech wa Chelsea akipatiwa matibabu na Daktari wa kikosi cha timu ya kwanza ya Chelsea Eva Carneiro,wakati wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa . |
0 Comments