Ticker

6/recent/ticker-posts

HILI NDILO TAIFA AMBALO ADNAN JANUZAJ AMECHAGUA KULIWAKILISHA KATIKA MECHI ZA KIMATAIFA

Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.APR. 24,2014 SAA 07:54 USIKU
Winga wa Manchester United Adnan Januzaj amechagua
kuiwakilisha Ubelgiji katika mechi za ngazi ya kimataifa, meneja wa timu ya Marc Wilmots alisema siku ya Jumatano.
Choice: Januzaj is eligible to play for Albiania, Kosovo and England but has chosen Belgium
Kuchagua:Januzaj alikuwa na haki ya kucheza  soka nchini Albiania, Kosovo na England lakini amechagua Ubelgiji
Kijana huyo mzaliwa wa Ubelgiji alikuwa na chaguo la kuwakilisha idadi ya nchi kadhaa ikiwa ni pamoja Ubelgiji, Albania, Kosovo na Uingereza.
Delighted: Belgium boss Marc Wilmots announced the news over his Twitter feed
Furaha: Bosi wa Ubelgiji Marc Wilmots alitangaza habari juu ya mustakabali wamchezaji huyo katika Twitter


"Mimi nimepokea uthibitisho rasmi kwamba Adnan Januzaj amekubali mwenyewe kuitumikia timu ya taifa ya Ubelgiji kwa kipindi chake cha mapumziko," Wilmots aliandika ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter.

Hakukuwa na Taarifa rasmi kutoka katika chama cha soka cha  Ubelgiji au Januzaj mwenyewe.

Kocha wa England na mlinzi wa zamani wa United Gary Neville aliongeza: "Ni uchaguzi binafsi na kijana ana kuwa na furaha mwenyewe ,unazungumzia juu ya uraia wake mwenyewe, hisia zake mwenyewe, hisia zake na daima hueshimiwa ."
Adnan  akiwa mdogo sana akionyesha utundu wa soka
Ryan Giggs na Adnan Januzaj walipokuwa wakioneshana utundu wa soka
Januzaj alihamia Manchester United kutoka klabu Anderlecht  ya Ubelgiji  mwaka 2011 na alicheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace mwezi Septemba.

Na alianza katika kikosi cha kwanza na klabu yake katika mechi ambayo alifunga mabao mawili kwa United ikitokea nyuma na kuwapiga Sunderland 2-1.
Holding out: Roy Hodgson was hoping Januzaj would wait and play for England at the age of 23
Amemkosa:Roy Hodgson ilikuwa na matumaini kuwa Januzaj, atacheza soka England .


Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19  alionesha nia ya mustakabali wake na United kwa kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na klabu hiyo.
Januzaj imeanza katika mechi 13 za Ligi Kuu kwa United, na kufunga mabao manne na kusaidia zaidi ya mara nne.


Post a Comment

0 Comments