IMEWEKWA JANUARI 9.2014 SAA 09:46 ALFAJIRI
Lionel
Messi amekuja akitokea benchi na kufunga mabao mawili kutoka kurejea baada ya kuumia na Cesc Fabregas pia akiingia
katika nyavu mara mbili nakuifanya Barcelona kuibuka na ushindi
wa mabao 4-0 dhidi ya Getafe katika Kombe la Mfalme
siku ya Jumatano.katika nyavu mara mbili nakuifanya Barcelona kuibuka na ushindi
Messi
alibadilishwa na Andres Iniesta katika dakika 64 katika Uwanja wa Nou Camp,na Mchezaji huyo wa mwaka kwa dunia akionekana katika mchezo wake wa kwanza tangu kupatwa na tatizo la misuli ya
mguu mwezi Novemba.
Kabla ya kuingia Messi tayari Barca walikuwa na mabao
mawili na Fabregas la kwanza dakika ya 9, na bao la pili ni kwa mkwaju wa penalti katika
dakika ya 63.
Messi
alinaonekana yuko fit kwa mkali yake wakati wa nusu saa yake katika uwanja na kurudi
kwake ni habari njema kwa kocha Gerardo Martino ambapo siku ya Jumamosi katika La Liga watakutana na wapinzani wao wanayogomea nao cheo Atletico Madrid.
Fabregas akifunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti |
Amerudi:Messi akifunga bao lake la kwanza tangu kurejea kutoka kuumia |
Alifunga bao lake la kwanza tangu kurudi katika dakika ya 89,na kutupia lake la pili katika dakika ya tatu za mwamuzi.
Kulikuwa
na hali ya furaha uwanjani na
kocha wa zamani wa Barca Tito Vilanova, ambaye alikuwa anapambana na kansa
ambayo ilimlazimisha kujiuzulu mwishoni mwa msimu uliopita, ilikuwa
akiangalia mchezo huo.
Alex Song (kulia) aliweka picha akiwa na wachezaji wenzake wakifurahia ushindi baada ya mechi (kutoka kushoto) kipa Jose Manuel Pinto, shujaa wa magoli mawili Messi, Fabregas,pamoja na Gerard Pique
|
Kama watafanikiwa kushinda mchezo wa pili wiki ijayo mjini Madrid, Barca
watakutana na Rayo Vallecano au Levante, ambao mchezo wao wa kwanza
siku ya Alhamisi, katika robo fainali.
ANGALIA VIDEO YA MABAO
BARCELONA: Pinto; Montoya, Mascherano, Puyol, Adriano; Busquets, Sergi Roberto, Iniesta (Messi 61); Pedro, Fabregas (Song), Alexis (Tello)
Goals: Fabregas 8, 62 pen, Messi 89, 90
GETAFE: Codina; Valera, Rafa, Alexis, Roberto Lago; Lacen, Borja; Pedro León, Diego Castro, Gavilán; Ciprian
Goals: Fabregas 8, 62 pen, Messi 89, 90
GETAFE: Codina; Valera, Rafa, Alexis, Roberto Lago; Lacen, Borja; Pedro León, Diego Castro, Gavilán; Ciprian
0 Comments