Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 13.2013 SAA 08:01 USIKU
Neymar akishukuru baada ya kufunga |
Kutupwa: Meneja wa Celtic Neil Lennon (katikati) hawezi kuvumilia kuangalia timu yake inavyopokea kichapo kutoka kwa Barcelona |
Gerard
Pique dk 7 na Pedro dk 39 waliweza kutangulia kuifungia timu hiyo ya hispania kabla ya
nyota huyo wa Brazil kuweza kufunga mabao matatu katika dakika ya 44.48 na 58.
Bao la 6 kwa Barcelona lilifungwa na Tello dk 72,na bao la kufutia machozi la Celtic lilipatikana katika dk ya 88 kupitia kwa Georgios Samaras.
Vidole juu: Pique akisheherekea baada ya kuweka Barcelona mbele dhidi ya Celtic |
Matanga: Tello (katikati) akisheherekea baada ya kufunga bao la sita kwa Barcelona dhidi ya Celtic |
Rahisi sana: Mchezaji wa Barcelona Pedro Rodriguez akiongea na umati wa watu baada ya kuifanya timu yake kuongoza kwa 2-0 nyumbani. |
Mtani Kumbuka mimi? Nahodha Celtic Scott Brown (kushoto) akisalimiana na Neymar |
Maombolezo: wachezaji Barcelona na Celtic wakisimama nyuma ya bendera kwa ajili ya heshima ya Nelson Mandela |
VIDEO YA MAGOLI
Barcelona: Pinto Colorado, Montoya, Adriano, Busquets (Song 73), Mascherano, Pique, Sergi, Xavi, Neymar (Dongou 81), Pedro, Sanchez (Tello 63)
Subs not used: Puyol, Iniesta, Alba, Olazabal Paredes
Goals: Pique 7, Pedro 39, Neymar 45 48 58, Tello 72
Booked: Sergi
Celtic: Forster, Lustig, Matthews (Stokes 82), Brown, Ambrose, van Dijk, Boerrigter, Ledley, Pukki (Mulgrew 45), Biton (Commons 69), Samaras
Subs not used: Balde, Zaluska, Atajic, Fisher
Goal: Samaras 88
Booked: Brown, Matthews
Referee: Sergey Karasev
Kama unakumbuka kabla ya mchezo Kocha wa timu ya Arsenal Arsene Wenger alikiri ugumu wa mechi hiyo na
hata kutahadharisha kuwa timu ya Napoli inaweza ikashangaza mashabiki wa
soka katika mechi hiyo,na ndicho kilichotokea.
Lakini hata hivyo Arsenal wamefanikiwa kufuzu kuingia kwenye
awamu ya pili ya kinyang'anyiro cha kombe la klabu bingwa ulaya licha ya
kulazwa mabao mawili bila na Napoli.
Juu na chini ni mfungaji wa Napoli Gonzalo Higuain akimwaga machozi muda mchache baada ya filimbi ya mwisho
|
Muda
mfupi baada ya kufunga bao la pili
(kushoto) Callejon akipiga magoti baada ya kugundua timu yake haikufanya kazi ya kutosha ya kuiwezesha Napoli kuingia katika hatua ya mtoano
Napoli ni timu ya kwanza kuwahi kwenda nje ya hatua ya makundi na pointi 12 |
Na katika mchezo huo Mikel Arteta wa Arsenal alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 76. |
Arsene Wenger (kushoto) na Rafa Benitez (kulia) wakiangalia mchezo |
mashabiki wa Arsenal waliondoka kwa uzuni baada ya mchezo kuisha |
Wenger akishika njia yake kabla ya mchezo kuanza upya baada ya mapumziko |
VIDEO YA MAGOLI
Mabao ya Napoli yalifungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 74 pamoja na Jose Maria Callejon dakika ya 90.
Napoli: Barbosa, Maggio, Armero, Behrami, Fernandez, Albiol, Mertens, Dzemaili, Higuain, Pandev (Insigne 57), CallejonSubs not used: Uvini, Britos, Colombo, Cannavaro, Inler, Zapata
Booked: Mertens, Dzemaili, Fernandez
Goal: Higuain 73, Callejon 90
Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Gibbs, Arteta, Mertesacker, Koscielny, Rosicky (Monreal 74), Flamini, Giroud, Ozil, Cazorla (Ramsey 67)
Subs not used: Vermaelen, Wilshere, Walcott, Monreal, Fabianski, Bendtner
Booked: Arteta, Giroud, Ramsey
Sent off: Arteta 76
Referee: Viktor Kassai
Attendance: 47,000
Played
December 11, 2013 1:00 PM GMT
Türk Telekom Arena — Istanbul
Referee: Pedro Proença
Attendance: 37375
December 11, 2013 1:00 PM GMT
Türk Telekom Arena — Istanbul
Referee: Pedro Proença
Attendance: 37375
85′
Wesley Sneijder
Played
December 11, 2013 7:45 PM GMT
Stamford Bridge — London
Referee: G. Rocchi
Attendance: 41181
December 11, 2013 7:45 PM GMT
Stamford Bridge — London
Referee: G. Rocchi
Attendance: 41181
10′
Demba Ba
Juu : Chelsea waliohitimu kutoka Group E pamoja na Wajerumani Schalke |
Kazi amefanya: Mourinho ilifanikiwa ambapo Roberto Di Matteo alishindwa mwaka jana
|
0 Comments