Siku ya June 11 mchezaji Simon Msuva aliibuka na Tuzo mbili ya Mfungaji Bora na Mchezaji Bora wa Ligi kuu ya Vodacom.
Baba,mama na Dada wa Simon Msuva walimpokelea tuzo hizo kwa maana mchezaji huyo alikuwa katika majukumu mengine ya Kitaifa.
![]() |
| Baba,mama na Dada wa Simon Msuva wakimpokelea tuzo mchezaji Huyo baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora na mfungaji bora wa Lugi kuu Tanzania bara. |
Baba mzazi wa Simoni Msuva alipata nafasi ya kutoa Historia japo kwa ufupi ya mchezaji huyo,na pale alipomaliza kutoa Historia hiyo Rais wa TFF Jamali Malinzi ambaye alikoshwa na historia hiyo aliamua kuwapa ofa wazazi hao wa Simon Msuva
SIKILIZA HAPO CHINI.


0 Comments