Kiungo wa Arsenal amekuwa akihusishwa na kujiunga City,Lakini Arsene Wenger mara kwa mara amekuwa akikanusha juu ya mustakabali wa Wilshere kuondoka Emirates, na kiungo huyo aliunga mkono maoni ya meneja wake alipoulizwa kuhusu mustakabali wake wakati wa kuelekea katika mchezo wa England na Slovenia.
"Mimi dhahiri sita kwenda mahali fulani kwa sababu tu kuna wachezaji wa nyumbani,nahitaji kuwepo sehemu wanapoitaji. Nataka kuwa na Arsenal," alisema."Nimekulia Arsenal, kama vile Arsenal wanavyonihitaji mimi, mimi nina furaha." alisema Jack Wilshere
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
0 Comments