Bi.Hindu na baadhi ya wanachama wenzake wa klabu ya Simba walipinga hatua iliyotolewa na kamati ya shirikisho la mpira
Tanzania,na kutomchukulia hatua Mwenyekiti wa klabu hiyo Ismail Aden Rage kwa sababu ya kukiuka sheria.
Wanachama hao wamesema hayo wakati walipokuwa wakiongea na waandishi wa habari siku ya tarehe 31 Desemba, na kusema kuwa,wameamua kujiolozesha ili waweze kuitisha mkutano mkuu wa Dhalula kuanzia siku hiyo.
Pia wanachama hao wamesema,walitegemea Tff kuvisaidia vilabu kutoingia katika migogoro,lakini badala yake wanaendelea kwena kinyume na hiyo.
Ikumbukwe kuwa,Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imemtaka Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu ya Simba baada ya kubaini mapungufu kadhaa ya kisheria kwenye uamuzi wa Kamati ya Utendaji ya Simba uliofanywa Novemba 18, 2013 kwa kumsimamisha Mwenyekiti wao.
Upungufu huo ni pamoja na ukiukwaji wa Ibara ya 33 ya Katiba ya Simba juu uitishaji wa mkutano, ajenda ya kumsimamisha Mwenyekiti kuwasilishwa kwenye kikao kwa utaratibu wa mengineyo.

ANGALIA VIDEO
0 Comments