Mhariri:Herman Kihwili.IMEWEKWA DESEMBA 18.2013 SAA 09:10 ALFAJIRI
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ameshtakiwa na Chama cha Soka kwa madai yaliyotolewa siku ya Jumamosi baada ya kuwaonyesha
mashabiki wa Man City ishara ya kidole cha kati,ishara inayochukuliwa kama ni matusi.,ishara hiyo aliionyesha sekunde chache baada ya mchezo kumalizika ambao Arsenal ilifungwa 6-3 .
mashabiki wa Man City ishara ya kidole cha kati,ishara inayochukuliwa kama ni matusi.,ishara hiyo aliionyesha sekunde chache baada ya mchezo kumalizika ambao Arsenal ilifungwa 6-3 .
Tukio hilo lilitokea katika uwanja wa Etihad Desemba 14,halijaonekana na maafisa wa mechi lakini lilionekana kupitia katika video.
Unalo kaka:anashtakiwa kwa tabia ya matusi |
Wilshere ameshtakiwa kujibu mashtaka hayo ya chama cha FA, chini ya mradi mpya wa
majaribio unaojulikana kama 'kuto kuonekana' matukio katika mechi za Ligi Kuu.
"Chini
ya utaratibu mpya wa tukio ambalo halikuonekana na maafisa wa mechi, jopo la watu watatu waliuliza FA marudio, na kushauri kama hatua
yoyote ichukuliwe, wanaamini mwamuzi wa mechi lazima atakuwa amechukua ushuhuda kwa wakati huo, "FA ilisema katika taarifa yake siku ya Jumanne.
"Kufuatia kushtakiwa huku na FA jopo la wanachama wote watatu lazima kukubaliana na kutoa adhabu. Katika tukio hilo jopo lilikuwa na kauli moja."
0 Comments