Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.06.2018 SAA 10:24 JIONI
Kipa chipukizi wa klabu ya YANGA Ramadhani Awam Kabwili amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kucheza
dakika 90 kwa klabu yake hiyo katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.
Mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji FC ulipigwa jumanne ya 6 Feb, katika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA
0 Comments