Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.07.2018 SAA 02:55 USIKU
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Young Africans Hussein Nyika
amezungumzia mustakabali wa suala la kuvunjwa kwa miataba ya
baadhi ya
wachezaji ambao wameonekana kuwa na majeruhi ya muda mrefu na kushindwa
kuisaidia klabu katika kipindi hiki muhimu.
BOFYA CHINI KUSIKILIZA
0 Comments