Wanachama na mashabiki wa Simba SC wamekuwa na Shauku ya kuona klabu yao ikifanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ambao utamwezesha Mkurugenzi na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji MO kufanya uwekezaji katika klabu hiyo kongwe nchini.
SOMA ZAIDI



0 Comments