Ticker

6/recent/ticker-posts

KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA AZAM FC KIPO HAPA,HASSAN KESSY PIA NDANI

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.AUG 17,2016 SAA 08:23 MCHANA

Kuerekea mchezo wa Ngao ya Jamii hii Leo unaoshiria kufunguliwa kwa pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
(VPL) 2016/17, Kati ya Azam FCnaYanga Sc mchezo ambao utapigwa muda mchache kutoka sasa,tayari mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga wametangaza kikosi chao.

ANGALIA ZAIDI

1.Deogratius Bonaventura Munishi 'Dida'
2.Hassan Ramadhan Kessy
3.Haji Mwinyi Ngwali
4.Mbuyu Junior Twite
5.Vincent Bossou
6. Said Juma Makapu.
7. Haruna Niyonzima
8.Juma Mahadhi
9.Thaban Michael Kamusoko
10.Amissi Jocelyn Tambwe
11.Donald Dombo Ngoma.

Akiba:

Benno Kakolanya
Oscar Joshua
Deus Kaseke
Simon Msuva
Malimi Busungu
Matheo Anthony
Pato Ngonyani.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)


Post a Comment

0 Comments