Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:Haruna Niyonzima kwenda India

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.07.2018 SAA 02:55 USIKU
Simba wamezungumza juu ya maandalizi ya kuwavaa Gendamarie ya Djibouti katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakauochezwa
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili. Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara pia ameelezea hali ya majeruhi wa klabu hiyo Haruna Niyonzima .

BOFYA CHINI KUSIKILIZA 

 
...>...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments