Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.08.2018 SAA 11:33 JIONI
Siku moja mara baanda Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara
kuwaomba mashabiki wa Simba kuwa na moyo wa
uzalendo kwa kuacha
kuzomea,pale klabu hizo mbili Simba na Yanga zinapokutana na timu za nje
ya nchi katika mashindano ya kimataifa .
Hii leo mjumbe wa kamati ya Utendaji wa Yanga Salum Mkemi amejibu swala
hilo.
SIKILIZA HAPO CHINI
0 Comments