Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.13.2018 SAA 01:33 USIKU
BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA ZAIDI
...
Kamati ya Nidhamu iliyokutana Jumamosi Februari 10, 2018 imemtia hatiani Juma Nyoso, mchezaji wa Kagera Sugar
kwa utovu wa nidhamu kwenye mechi namba 112 ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Kagera Sugar dhidi ya Simba Sports Club iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba. BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA ZAIDI
0 Comments