Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.OCT.1,2016 SAA 01:59 USIKU
Katika mchezo huo Yanga walitangulia kupata bao kupitia kwa Mrundi, Amissi Joselyn Tambwe dakika ya 26, akimalizia pasi ndefu ya beki Mbuyu Twite .
Na baoa la Simba la kusawazisha lilifungwa na mzalendo, Shizza Ramadhani Kichuya dakika ya 87 baada ya kona aliyochonga kuingia moja kwa moja nyavuni.
Nahodha wa Simba Jonas Mkude kalitolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza baada ya Yanga kupata Bao.
PICHA











0 Comments