Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKUNDI LIGI DARAJA LA PILI YENYE TIMU YA GEITA,MILAMBO NA THE MIGHTY ELEPHANT YA RUVUMA YATAJWA

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.12,2016 SAA 01:54 USIKU
Kikosi cha Geita Gold SC ya Geita

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Pili ((SDL)
inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu.
Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezon inayoendeshwa na TFF makundi na timu hizo ni kama ifuatavyo.

Kundi A
Bulyanhulu FC- Shinyanga
Geita Gold SC- Geita
Mashujaa FC- Kigoma
Milambo SC- Tabora
Polisi Tabora FC- Tabora
Transit Camp FC- Shinyanga
Kundi B
AFC- Arusha
Green Warriors- Dar es Salaam
JKT Oljoro- Arusha
Kitayosa- Kilimanjaro
Madini SC- Arusha
Pepsi- Arusha
 Kundi C
Abajalo SC- Dar es Salaam
CDA- Dodoma
Changanyikeni- Dar es Salaam
Cosmopolitan- Dar es Salaam
Kariakoo FC- Lindi
Burkina FC- Morogoro
 Kundi D
Namungo FC- Lindi
Mawenzi Market- Morogoro
Mkamba Rangers- Morogoro
Sabasaba United- Morogoro
The Mighty Elephant- Ruvuma
Wenda FC- Mbeya

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)


Post a Comment

0 Comments