Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.OCT.07,2014 SAA 08:27 USIKU
Arsene Wenger hatakumbumbana na adhabu kwa kumsukuma Jose Mourinho wakati wa mchezo wa Chelsea
dhidi ya Arsenal siku ya Jumapili.
Wenger alipambana na mpinzani wake huyo wa muda mrefu baada ya kumuingilia katika eneo lake la nyumbani la kiufundi, na kumlalamikia kuhusu rafu aliyofanyiwa Alexis Sanchez na mchezaji Gary Cahill mapema katika ushindi a Chelsea wa 2-0 katika Ligi Kuu.
Meneja wa Arsenal alimsukuma Mourinho, baadaye kudai kuwa bosi huyo wa Chelsea alitakiwa azuiwe kutoka sehemu yake " A kwenda sehemu B".
Wanaume hao walionywa na mwamuzi Martin Atkinson , na chini ya sheria ya Chama cha Soka, maana yake ni kwamba hatua yoyote zaidi ,inaweza kuchukuliwa.
Alipoulizwa kuhusu changamoto hiyo baada ya mchezo Wenger alisema "sijutii kitendo hiko",kwani alitaka kwenda sehemu B na Mourinho alionesha dalili za kumkabili kabla ya kufika sehemu B.
Na wenger, akasisitiza kuwa hana cha kusema kuhusu tukio hilo,kwa kuwa kila kitu kilionekana katika Camera.
Arsene Wenger pushes Jose Mourinho on the Stamford Bridge touchline during Chelsea's clash with Arsenal
Credit: Jorc94 on Vine
ANGALIA PICHA ZA UTANI
The Arsenal boss lands the knock out blow on Mourinho here but the Chelsea boss had the last laugh
One Twitter user, @BeardedGenius, created this fight poster, titled 'Grope-a-Dope' after the incident
Twitter users poked fun at the pair, whose touchline scuffle wreaked internet havoc on Sunday afternoon
There was plenty of handbags in this scuffle as Wenger pushed Mourinho on the Stamford Bridge sidelines
The emotions get to Wenger as he asks a member of his coaching staff to take his jacket
Users posted pictures from films, with Wenger's head superimposed onto the image... with hilarious results
The Royal Rumble on the sidelines between Mourinho and Wenger took centre stage at Stamford Bridge
Betfair decided to re-enact a scene from Family guy as Arsene Wenger and Mourinho had a touchline spat
William Hill shows Jose Mourinho landing a pivotal blow on Arsene Wenger shortly after the incident
Paddy Power introduced Cesc Fabregas to proceedings, as the referee in a 'Hell in a Cell' WWE match
Mourinho and Wenger are trading blows here as Chelsea and Arsenal battled against each other on the pitch
Even Gary Lineker got involved, pointing out what looks like the fourth official's muted enjoyment
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments