Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALI MWANZO MPAKA MWISHO STARS NA SUPER EAGLES

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.6,2015 SAA 12:58 JIONI

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ siku ya jumamosi ilitoka sare ya bila kufungana (0-0) na Timu ya Nigeria ‘The
Super Eagles’ kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika zitakazofanyika Gabon mwaka 2017.

ANGALIA PICHA ZA MCHEZO 


































































KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments