Ticker

6/recent/ticker-posts

TENNIS:NI SERENA AU VENUS WILLIAMS KUINGIA NUSU FAINALI?

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.8,2015 SAA 11:55 JIONI
Serena (L) and Venus have met four times so far at the US Open
Mcheza Tenisi Andy Murray yeye ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika
ya kusini.
Mwingereza huyo ameondolewa katika michezo hiyo baada ya kubugizwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-7 (2-7) 7-6 (7-0).
Katika upande wa wanawake mwingereza mwingine Johanna Konta akapokea kichapo cha 7-5 6-3 kutoka kwa Petra Kvitova wa Czech.
Sasa Kelvin Anderson anatakutana na Wawrinka ambaye amempiga mmarekani Donald Young.
Ukiacha mchuano huo, nadhani pambano linalosubiriwa na wengi sasa ni linalowakutanisha mabinti wa Mzee Williams, Serena na Dada yake Venus,wanaokutana leo katika hatua ya robo fainali.
Na Katika mahojiano, Venus aliulizwa kuhusu ya hali uhisiano na mpinzani wake ambaye ni ndugu yake wa damu Serena.
Venus alijibu kuwa Anajisikia fahari kuwa na Serena, na anadhani Serena pia anajivunia yeye. na wote wanahamasisha watu wengine.

Lakini pia Venus williiams amesema atacheza kama  yeye  hii leo, Lakini angalau mmoja wao, akiingia nusu fainali, hivyo itakuwa nzuri zaidi.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments