Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga
tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.
Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

0 Comments