Ticker

6/recent/ticker-posts

MKWASA AMEZUNGUMZA LEO KABLA YA STARS KUKUTANA NA NIGERIA KESHO

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.4,2015 SAA 08:47 MCHANA

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Chalse Boniface Mkwasa amezungumza na waandishi wa habari hii leo juu ya
maandalizi ya mwisho ya Mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria utakaopigwa kesho uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Waandishi wa Habari wakifuatilia Mkutano
Mkwasa amesema Safu ya ushambuliaji iko vizuri na amewaombe wachezaji kukumbuka yale ambayo wamewafundisha mazoezi.'Kama watakuwa na utulivu wa kukumbuka tuliyo wafundisha nadhani tutafanya vizuri.majeruhi ni madogo Sana na ya kawaida yaliyotokea Leo hasubui Kama mchezaji Mbwana Samata'


Pia mkwasa amemshukuru rais kikwete kwa kuwa pamoja na wao,na amemuomba pia atumie fursa hii kuja uwanjani pia kuwaaga watanzania.

Mkwasa pia amesema 'Nimewaagiza wachezaji kutumia nafasi zote zitakazopatikana,ushindi ni ushindi tunahitaji magoli yeyote yatakayopatikana'.

Like,Comment,kisha Share hii

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .

Post a Comment

0 Comments