Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.SEPT.3,2015 SAA 12:27 JIONI
Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje kwa "kipindi cha mwezi 1" baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, Klabu yake imethibitisha.
Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck atakuwa nje kwa "kipindi cha mwezi 1" baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, Klabu yake imethibitisha.
Mshambuliaji huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24 atakuwa nje baada ya goti lake la kushoto kufanyiwa upasuaji ili kuimarisha kazi yake.
Welbeck amekuwa akicheza mpira baada kupata nafuu kutokana na kuumia mwishoni mwa mwezi Aprili.
Tovuti rasmi ya klabu ya Arsenal imesema "Danny sasa anatarajiwa kuwa nje kwa kipindi cha mwezi na kila mmoja ndani ya Arsenal anamtakia afya nzuri."
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments